PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA - Simiyu akamatwa na Askari baada ya kuachiwa huru Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

KwetuKwanza

Senior Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
121
Reaction score
218
1000275731.jpg

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Simiyu, Mussa Onesmo anadaiwa kukamatwa na Askari wa Jeshi la Polisi akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ambako alikwenda kusikiliza shauri lililokuwa linamkabili Mahakamani hapo.

Kwa mujibu wa Wakili wake, Alex Masaba ni kuwa Mwenyekiti huyo wa CHADEMA, amekamatwa mara baada ya Upande wa Mashtaka kuondoa shauri mahakamani hapo ambalo lilikuwa linamkabili mwenyekiti huyo na kuachiwa huru.

Wakili Alex amesema mara baada ya Mahakama kumwachia huru, Askari walifika ndani ya ukumbi wa Mahakama kisha kumkamata tena na kumpeleka Kituo cha Polisi Bariadi.

"Mpaka Sasa hatujajua kwa Nini wamemkamata au wanataka kumfungulia kesi gani nyingine, tunasubiria tuone, lakini amekamatwa mara baada ya Upande wa Mashtaka kuondoa shauri mahakamani na Hakimu kumwachia huru," amesema Alex.

Kwa mujibu wa Wakili Alex, ameeleza Mwenyekiti huyo alikuwa anakabiliwa na kosa kukutwa na nyaraka ambazo kisheria hapaswi kuwa nazo, Nyaraka ambazo ni karatasi za kupigia kura na leo Aprili 14, 2025 ilikuwa ni kwa ajili ya kusikilizwa kwa hoja za awali, lakini upande wa Mashtaka ukasema hauna nia ya kuendelea na kesi ndipo Hakimu naye akamuachia huru Onesmo.

=======================

AACHIWA KWA DHAMANA
JamiiForums imewasiliana na Wakili Alex Masaba kuhusu suala hilo amesema mara baada ya kufikishwa Polisi, Onesmo hajaulizwa chochote zaidi ya kupewa masharti ya dhamana, ambapo amedhaminiwa kisha wakamuachia na kumtaka kurejea Jumatatu ijayo Aprili 21, 2025.
 
Asante Mungu.
 
Mbwa hawana kazi zaidi ya kuidhibiti chadema
 
Back
Top Bottom