Mwenyekiti CHADEMA kanda ya Kusini ajiuzulu

Mwenyekiti CHADEMA kanda ya Kusini ajiuzulu

wote wenye akili timamu lazima waondoke chadema yale zomboko ndiyo yatabaki.
 
Katimiza democracy ya kweli. Ulitaka ang'ang'anie madaraka kama Kingunge wenu

mimi nilitaka akomalie kama mbowe alivyokomaa kwenye uenyekiti anataka kuwa mwenyekiti wa milele.
 
Wewe naona ndiyo msukule kabisa! Hihi mwenyekiti anaondoka husikitiki unashangilia! Hilo ni pigo kisiasa ilitakiwa CDM ipandishe nusu mlingoti bendera nchi nzima.

Huyo M/kiti ni msaliti. Alizuia iongozi wa Chadema kwenda kufanya kampeni Kata 3 zilozopo kwenye kandayake akadanganya amefanya kampeni kumbe pesa za kampeni amekula na alikuwa ameshanunuliwa na ccm akazuia kampeni kufanyika. Msaliti tu huyo kondom ya ccm.
 
Wewe naona ndiyo msukule kabisa! Hihi mwenyekiti anaondoka husikitiki unashangilia! Hilo ni pigo kisiasa ilitakiwa CDM ipandishe nusu mlingoti bendera nchi nzima.

Zoezi la kusafisha chama lazima liendelee,wachumia tumbo hawana nafasi.Amekifanyia nini chama hadi kiskitike? Ana wabunge na madiwani wangapi? Kama kaondoka yeye kama yeye hana madhara huyo,yeye ni mmoja lakini jana nimetoa kadi 13 kwa wanachama wapya hivyo mwacheni aende zake
 
Huyo M/kiti ni msaliti. Alizuia iongozi wa Chadema kwenda kufanya kampeni Kata 3 zilozopo kwenye kandayake akadanganya amefanya kampeni kumbe pesa za kampeni amekula na alikuwa ameshanunuliwa na ccm akazuia kampeni kufanyika. Msaliti tu huyo kondom ya ccm.

Ukiona kiongozi anajiuzuru peke yake tambua huyo alikuwa pandikizi na msaliti mkubwa.Haiwezekani kiongozi mkubwa akajiuzuru peke yake kana kwamba hana wafuasi. Pia madai yake ya kupika ambayo wenzake walishayagundua na ama walishamchoka!
 
Maumivu ya kichwa huanza taratibu.....Ukanda wao cdm unawaponza sasa!!!

Hivi Mwanza niliko ni kanda ipi kweli? Mmefilisika hoja,hii propaganda yako mbona ilishabuma kitambo!? Jipangeni upya!
 
Mwenyekiti kachoka kuwa msukule wa kaskazini kajitambua, bora kaondoka kawaachia chama chao cha ubaguzi, mtu akihoji tu matumizi ya chama anaitwa msaliti.

umewahi kuhoji matumizi kwenye ziara za kinana ?
 
kachoshwa na ubabaishaji wa chadema chama cha kikabila kinachobagua baadhi ya watu.

ulishawahi kuwa mwana CDM ukabaguliwa sababu ya Kabila lako? na walioko CDM wote kabila moja?
 
Huyo M/kiti ni msaliti. Alizuia iongozi wa Chadema kwenda kufanya kampeni Kata 3 zilozopo kwenye kandayake akadanganya amefanya kampeni kumbe pesa za kampeni amekula na alikuwa ameshanunuliwa na ccm akazuia kampeni kufanyika. Msaliti tu huyo kondom ya ccm.

Na ww ni kondom ya nani?
Kama alichukuwa hela akufanya kampeni ni sawa kabisa
Kajitoleya sana karudisha pesa yake ya office
Jamaa mjanja kweli
Cdm pwaaaaaaa pooooooo
 
Amejiona hana uwezo katika kikosi cha makamanda,ni vizuri ulivyojiondoa mapema uache watu wapige kazi ya ukombozi wa Tanganyika.
 
huyu anakimbia tuhuma za chama alikula milioni 20 za kanda sasa anabanwa kurejesha mahesabu ameona akimbie kwa kujidai amijiuzuru, hawa ndio wale wale kutoka chama cha magamba lakini lazima afuatiliwe aeleze milioni 20 za kanda zimefanya nini
 
Bwana Matiko Matare aliekuwa Mkiti wa CHADEMA kanda ya Kusini amejiuzuru nafasi yake.

chanzo : taarifa ya habari redio one saa sita

Nimesikia amejiuzulu baada ya kanisa lake la TAG kumwomba aachane na siasa, aitumikie Kanisa. Sijaona kosa lake hapo
 
Back
Top Bottom