Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 993
Bwana Matiko Matare aliekuwa Mkiti wa CHADEMA kanda ya Kusini amejiuzuru nafasi yake.
chanzo : taarifa ya habari redio one saa sita
chanzo : taarifa ya habari redio one saa sita
Mwenyekiti kachoka kuwa msukule wa kaskazini kajitambua, bora kaondoka kawaachia chama chao cha ubaguzi, mtu akihoji tu matumizi ya chama anaitwa msaliti.Bwana Matiko Matare aliekuwa Mkiti wa CHADEMA kanda ya Kusini amejiuzuru nafasi yake.
chanzo : taarifa ya habari redio one saa sita
Kashindwa kazi huyo hana hata mbunge mmoja halafu anajiita mwenyekitiBwana Matiko Matare aliekuwa Mkiti wa CHADEMA kanda ya Kusini amejiuzuru nafasi yake.
chanzo : taarifa ya habari redio one saa sita
Mwenyekiti kachoka kuwa msukule wa kaskazini kajitambua, bora kaondoka kawaachia chama chao cha ubaguzi, mtu akihoji tu matumizi ya chama anaitwa msaliti.
Kashindwa kazi huyo hana hata mbunge mmoja halafu anajiita mwenyekiti
Alikuwa afukuzwe hiyo kujiuzulu ni geresha yake tuu Msaliti mkubwaLeo ndio umelijua hilo? Mbona hata hujipi nafasi ya kuhoji nini kimemfanya ajiuzulu?
Waende wala hawamtishi mtu hapa chama kinaendelea mbele labda mtwambie kama ameondoka na wanacha 10,000 otherwise kinyango ukichongacho hakikutishi kamwe.