Mwenyekiti BAVICHA wa Wilaya ashikiliwa na Polisi kwa Wizi

Huko kwenu kumewashinda tena wanaiba matrilioni unakuja kukomaa na vibaka ambao watafukuzwa mara moja


Mbona huyu mlishindwa kumfukuza siku zote hadi leo alipoanza kuwatia hasara vijana wenzie, unadhani kesho akiwa kiongozi wa Taifa, atasababisha hasara kiasi gani kwa Taifa, kwa tamaa za vitu vidogo na bado Mbunge wa Iringa Mjini anaenda kumtoa na kumkingia kifua yaani ameamua kubariki vitendo vichafu vya Kiongozi wake wa BAVICHA
 
Huko kwenu CCM ni kusafi sana ndio maana unaona kwa Chadema?

Huku CCM hatulehi wachafu na watu wasiyokuwa na utii ndiyo maana wakibanwa huku CCM wanakimbilia chadema,huko ndiyo kichaka cha wachafu kilipo na wanapokelewa kwa shangwe!
 
Iko simpo! Anadaiwa kufanya kosa la jinai, na makosa ya jinai yote mlalamikaji huwa ni serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania na shahidi wa kwanza huwa aliyetendewa kosa husika, huyu anatuhumiwa kutenda makosa hayo yeye kama yeye, wala si chama. Sheria ifuate mkondo wake, chama kitamuwajibisha kikithibitishiwa na hukumu ama intelijensia ya chama!
TUMEMALIZA MJADALA.
 
Tabia kama hiyo si nzuri ata kidogo,huyu bado hajapewa madaraka makubwa ndani yua chama na serikali kafanya hivyo je tukimpa madaraka itakuwaje?siyo huyo tu ata Lema ilishawahi semwa ni jambazi na Zombe alishawahi kutamka hadharani hivyo,Dr slaa ksiba mke wa mtu,Mbowe alituhumiwa kukwepa deni la nssf na ata chama chenyewe kilikuwa kinakwepa kodi TRA , hiyo ndiyo chadema inayotaka tuikabidhi madaraka ya kuongoza taifa,hawa watu uliwatafakari kwa makini wanataka madaraka kwa fujo na vurugu lengo lao kuu ni kuiba na kufilisi rasirimali za taifa letu ,Ewe mtanzania amka kataa chadema illi kulinda rasirimali za Tanzania!

je wajua kuwa baba wa taifa aliuliwa na Mkwapa?
 
Hakuna alie kamilika isipokuwa MUNGU, Huyo ni binadam tusihukumu chadema bali tumhukumu yeye kama yeye.
 
Iko simpo! Anadaiwa kufanya kosa la jinai, na makosa ya jinai yote mlalamikaji huwa ni serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania na shahidi wa kwanza huwa aliyetendewa kosa husika, huyu anatuhumiwa kutenda makosa hayo yeye kama yeye, wala si chama. Sheria ifuate mkondo wake, chama kitamuwajibisha kikithibitishiwa na hukumu ama intelijensia ya chama!
TUMEMALIZA MJADALA.


Mkuu mbona povu linakutoka hapa tunajadili ili Tabia kama hizi zisiendelee na hasa kwa vijana wa pande zote, Kwahiyo mjadala unaendelea
 
Vyama vinavyofikiri kwa kutumia nywele na si kichwa vinashida sana,,,,mimi nipo iringa na bwana huyu amshukuru sana mbunge wa iringa mjini vinginevvyo watu wange muua
 
Kwahiyo Pro Chadema kwenu ni sawa viongozi wenu wakiiba eti kwasababu viongozi mmoja mmoja wa chama kingine nao wanaiba?

Shame on you
Hata kuwa kiongozi wa chadema kukamatwa kwa wizi lakini sifa kuu ya chadema ukigundulika umeiba kweli unafukuzwa mara moja.
 
Back
Top Bottom