Mwenyekiti BAVICHA wa Wilaya ashikiliwa na Polisi kwa Wizi

Kawachukulieni hatua wakina Chenge na Lowassa na wengine wengi ndani ya CCM hili suala Dogo la CDM tuachie wenyewe

Mkuu Precise pangolin hili suala si dogo; mwizi ni mwizi. Huyo mwizi kama wezi wengine. Wizi ni hulka hivyo huyo ni mwizi mbaya sana. Anaiba anachoweza kuwa nacho karibu hivyo akipewa mamlaka na akawa na access ya mabilioni ya budget ya serikali atakwapua tu. Hakuna mwizi mdogo. Ofisi mesenja ataiba sukari na majani ya chai ya ofisi kwa kuwa ndivyo vilivyo karibu naye. unaweza kuta anaiba 25% ya sukari yote ya ofisi. Mwenye budget ya bilion 10 akaiba bilion moja ameiba 10% ya kilicho karibu naye. MWIZI NI MWIZI TU.Kama huyo ameiba kweli kama ilivyonenwa basi hakuna jambo dogo
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya, ndugu Emmanuel Mlak, ambaye ni muasisi wa CHADEMA, Tawi la Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa, awekwa ndani kwa siku mbili baada ya kuiba vitu akishirikiana na wenzake wa eneo la Semtema amabo ni wezi.

Kiongozi mmoja wa CHADEMA Taifa ambaye ni Mbunge, kamtoa sasa polisi kwa gharama ya Sh. 350000, ili kesi ifutwe na wamekabidhiwa walioibiwa.

Vitu alivyoiba ni pamoja na radio, mabegi 2, nguo za kike na suti 2, kibaya zaidi ni kwamba anamiliki funguo bandia kufungulia hostels za wanafunzi na nyumba za watu jirani. Pia bwana Mlaki anaendelea kutuhumiwa kutumia mihuri ya Mkuu wa Chuo, Dean of students na mhasibu wa chuo kujipatia fedha toka kwa wahisani wa CHADEMA na viongozi wa juu wa CDM.

Serikali ya wanafunzi imeonelea swala hilo liende uso wa sheria za Chuo ili kulinda Image ya Chuo.
Mlaki amemtumia mbunge wa Iringa Mjini ili amsaidie kuongea na Mkuu wa Chuo juu ya jambo hilo.
Twasubiri hatua za Mbunge huyo katika jitihada za Kumnasua M/kiti huyo wa BAVICHA.
Hawa ndio viongozi wa kesho wa CHADEMA

Naomba kuwasilisha.

Sikatai wala sikubali yote uliyoandika.Yanaweza kuwa kweli lakini si kweli ya kweli yote kwa 100%.Hivi wewe ni msafi sana?Hebu jipime na ujitazame,hufanyi zaidi ya haya?Ni hayo tu,nawahi Tusker baridi na Pork product nusu kilo ya rost na ugali wa udaga,karibu ila samahani kama hutumii.
 
Mkuu Precise pangolin hili suala si dogo; mwizi ni mwizi. Huyo mwizi kama wezi wengine. Wizi ni hulka hivyo huyo ni mwizi mbaya sana. Anaiba anachoweza kuwa nacho karibu hivyo akipewa mamlaka na akawa na access ya mabilioni ya budget ya serikali atakwapua tu. Hakuna mwizi mdogo. Ofisi mesenja ataiba sukari na majani ya chai ya ofisi kwa kuwa ndivyo vilivyo karibu naye. unaweza kuta anaiba 25% ya sukari yote ya ofisi. Mwenye budget ya bilion 10 akaiba bilion moja ameiba 10% ya kilicho karibu naye. MWIZI NI MWIZI TU.Kama huyo ameiba kweli kama ilivyonenwa basi hakuna jambo dogo
Ameshafukuzwa mkuu Kimbunga sasa ccm wanawafukuza wa kwao lini? Kwasababu ni muda sasa tokea wajulikane
 
CDM msijilinganishe na CCM. Ati kwamba mbona CCM haichukui hatua dhidi ya wezi kwa hiyo CDM nayo haichukui hatua sasa hiyo tofauti na ukombozi wa pili utatoka wapi?
 
Nasisitiza tusome kanuni!umekosea kanuni mh. Mtoa hoja!kwanza sual hilo lipo mahakamani!embu rekebisha maana hata mnyika kahojiwa kwa kumtishia mwigulu nchemba sasa isije ikawa ndo mwendelezo huo wa kiini macho!

Mkuu bado swala hili halijafikishwa mahakamni japo Mbunge wa Iringa mjini anataka liishe kimya kimya, kwahiyo tuendelee kujadili
 
Back
Top Bottom