Mwenyekiti BAVICHA Taifa ndani ya Same

Makamanda mliopo karibu na same njoni tujiunge pamoja
 

ALL THE BEST HECHE, Piga kazi
 

Mkuu update hapo kesho ni kitu cha muhim sana
 
umasikini umefanya miaka 50 na ccm. kama ccm wangejali maisha ya watu tungekuwaje masikini?hamtaki kusikia watu wakielimishwa mnabakia kutumia weak point kujifariji. hii ni m4c magamba mkae chonjo.
 
chadema ni maji usipoyatumia kwa kunywa utayaoga.
kamanda ngoja nicheki ratiba kama vipi niku pm uniwekee chumba elephant.
 
kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.

Usijali mkuu kwani kupitia hii mikutano ndo njaa na umaskini vitapatiwa tiba make njaa na umaskini Tz ni ccm kwahiyo ikishaondolewa ccm njaa,vilio na umaskini vitakuwa vimehukumiwa kunyongwa hadi kufa.
 
kwann HECHE tuuu...vijana wenye uwezo wako wengi,namjua vizuri HECHE uwezo wake katika kujenga hoja ni mdogo sana.. Nafkiri watu kama MAWAZO,MILLYA,HENRY KILEO wangesaidia sana..kama wangepewa nafasi.
 
kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.

maneno yako yanonyesha ufinyu WA kufikiri na nafikiri hata wivu!
Mwenyekit huyo ndoo kaz yake! Hilo ndoo Shanna na analipwa!
Kingine ujue mikutano hiyo haifanywi na Mungu ! Peke yake ndiye Ana uwezo WA kuhutubia Dunia kwa wakat mmoja!
Hapa kwangu hawajafika nawatani kweli kweli CDM!
 
M4C iende na wilaya jirani ya Mwanga.
Wakazi wa hiyo wilaya wanaonekana kama hawataki kuunga mkono harakati za ukombozi.
 
kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.

Kuna njaa ya kufananisha kama waliyotulitea ccm?? Hii mikutano haiwausu nyie magamba... Pilipili usioliwa inakuwashia nini?
 

Nilikuwa nitaje vijiji hivyo ulivyovitaja nimefurahi mno. Hasa mwembe wamezoea kupewa sukari na majani ya chai basi wanajua magamba tu . Safi sana wakuu.
 
Mimi wapare hata siwaamini wamekaa kiccm sana.Lakini mpambanaje nenda kajaribu kuwashawishi waingie kwenye ufalme
 
Mh! Ukiona hadi kiongozi wa ka-jumuiya ndani ya chama cha siasa ziara zake zinakuwa na mwitikio mkubwa hadi huko vijijini kweli tumefika patamu. Hivi Beno na Shigela vipi?
Kweli mkuu tungekuwa na BAWACHA iliyokamilika nayo ingefanya sehemu yake.
 
Chadema inafanya kweli ... Lini mtageukia pande hizi za Nyanda za Juu Kusini .....
 
simoni and whoever atakaye kuwa huko, tunaomba feedback (covarage yote)
 
Chadema inafanya kweli ... Lini mtageukia pande hizi za Nyanda za Juu Kusini .....
CHADEMA ipo everywhere...last week chadema walikuwa makambako na walishika vibaya, so kuwa specific nyanda za juu kusini wapi, ili timu tujipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…