mishe bwoy Senior Member Joined Oct 26, 2014 Posts 116 Reaction score 34 Feb 2, 2017 #1 Kama una youtube ac ina suscribers kuanzia 2000 njoo DM tuongee biznezz
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Feb 2, 2017 #2 acha uvivu ukishakuwa na Gmail account tayari unamiliki youtube channel unafuata maelekezo unamiliki na wewe
acha uvivu ukishakuwa na Gmail account tayari unamiliki youtube channel unafuata maelekezo unamiliki na wewe
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,376 Reaction score 3,976 Feb 2, 2017 #3 Mgumu04 said: acha uvivu ukishakuwa na Gmail account tayari unamiliki youtube channel unafuata maelekezo unamiliki na wewe Click to expand... Mwenzako anataka yenye subscribers tayari.Hataki kuanza kusaka subscribers.
Mgumu04 said: acha uvivu ukishakuwa na Gmail account tayari unamiliki youtube channel unafuata maelekezo unamiliki na wewe Click to expand... Mwenzako anataka yenye subscribers tayari.Hataki kuanza kusaka subscribers.
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,622 Reaction score 5,251 Feb 3, 2017 #4 Mgumu04 said: acha uvivu ukishakuwa na Gmail account tayari unamiliki youtube channel unafuata maelekezo unamiliki na wewe Click to expand... Nipe somo nami nimiliki yangu
Mgumu04 said: acha uvivu ukishakuwa na Gmail account tayari unamiliki youtube channel unafuata maelekezo unamiliki na wewe Click to expand... Nipe somo nami nimiliki yangu
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,239 Feb 3, 2017 #5 mtu anaposubscribe inamaana anataka kile kitu anachokiona kwenye chanell, mfano mimi chanell yangu ni ya mziki wa taarabu halafu wewe ukainunua na kueka chanell ya somo la hisabati unafikiri watu watabaki? wengi watakimbia.
mtu anaposubscribe inamaana anataka kile kitu anachokiona kwenye chanell, mfano mimi chanell yangu ni ya mziki wa taarabu halafu wewe ukainunua na kueka chanell ya somo la hisabati unafikiri watu watabaki? wengi watakimbia.