Mwenye working solution ya IDM fake keys?

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Kwa Hii error ya IDM nahisi wame fix uchakachuzi wa aina yoyote nime download all latest crack files za torrent lakini bila bila
Nimefuta previous keys kwenye Registry lakini bado bila bila,mwenye solution naomba msaada hapa nimekwama
 

Attachments

  • idm.PNG
    4.1 KB · Views: 447
mi nliwahi kumbana na hilo tatizo nikapata crack for life .nnayo mpaka ila computer ikipoteza muda unabonya ina crack unaendelea toa mizigo kwenye net.faida yake ni kwamba idm yenyewe inakua ndaniya crack kwahio inachakachuliwa ndo inaingia kwenye computer
 
SOURCE
Code:
 http://www.stupidtechlife.com/remove-idm-registered-fake-serial-number-error/
 
angalia tena torrent nimedownload siku 3 zilizopita wameahaichakachua na hio error

Nimetumia hii Njia naona sasa dakika ya Tano haijaleta pop ups majibu yakibadilika ningependelea uweke file lako ulilotumia

http://kat.cr/internet-download-manager-idm-6-23-build-10-crack-firstuploads-t10477586.html

Mafile yaliyoshindwa Crack ni haya
http://kat.cr/internet-download-man...crack-fake-serial-pop-up-fixed-t10472442.html

http://kat.cr/internet-download-man...t-64bit-patch-crackingpatching-t10540358.html

Ila pia nimesoma comments za watu wanasema ni vema kufuta Registry keys

 
naomba nielekeze jinsi ya ku upload hio cracker nnaweza upload picture only

Reply au Reply with quote>>>>Go advanced>>>>scroll down>>>>manage attachments
Kama ni .exe itabidi uzip kabla ya kuli upload
 
Tatizo la hii trick yako browser intergration inaweza ku fail na latest browsers
Kwenye firefox ndo inasumbua ila chrome haina shida, hata zikija sumbua option iliyobaki ni ku add link manualy kwenye idm.
 
Nafikiri hii nilikutana nayo ila Keygen ikawa inaitaji Java kwenye programdata ambayo nilishindwa kutatua maana ilikua inanambia haipati java.bin kwenye directory yake

mimi hata java sina cheki na ant virus labda inakula keygen
 
Hivi IDM yakudownload mbona inazingua baada ya mwezi?msaada tafadharini
Kwa sababu ni commercial software,ukifatilia hii thread utapata solution za kutumia Cracks ila IDM cracking yataka moyo maana kila siku kadhaa wanatoa Updates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…