Rudaguza01
Member
- Aug 11, 2017
- 92
- 37
Kuna wimbo wa zaman kdogo bongo flava na baadhi ya maneno yanaimbwa hvi: "Ndoto haruf mbaya imetawala mwilini, napita mito na mabonde,, ni safari ndefu inayo chukua miaka mingi... Nisaidiem wimbo was nani na ameimba nani.

