kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,089
Nauhitaji huu wimbo jamani.. aliye nao auweke hapa
Nahitaji AUDIO wakuu.
Nahitaji AUDIO wakuu.
Baridi kali. Mods rekebisheni nimekosea titleNauhitaji huu wimbo jamani.. aliye nao auweke hapa
Nataka audio mkuu
Extract Audio kutoka kwenye Video au Video Version ni Tofauti na Audio imekatwa katwa(Edited) kwenye video?Nataka audio mkuu
Audio ya kwenye hii video version ina low quality ndio maana nikaja kuomba kama kuna mtu mwenye audio tofauti na ile ambaye imekuwa converted kutoka katika hii video.Extract Audio kutoka kwenye Video au Video Version ni Tofauti na Audio imekatwa katwa(Edited) kwenye video?
Okay Mkuu nipo porini nikifika Town nitawasha Desktop nikupe.Audio ya kwenye hii video version ina low quality ndio maana nikaja kuomba kama kuna mtu mwenye audio tofauti na ile ambaye imekuwa converted kutoka katika hii video.
Mkuu kagoogle mdundo.com utaipata huko chini ya dakika 1Nataka audio mkuu
Asante mkuu. Nitashukuru sana.Okay Mkuu nipo porini nikifika Town nitawasha Desktop nikupe.
Nume-google sanaMkuu kagoogle mdundo.com utaipata huko chini ya dakika 1
Unauliza mtu aliyepigwa tangu 2021