Mwenye wasifu wa huyu jamaa aje haraka

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,190
3,685
Hivi huyu jamaa ni nani wana habari wanamhoji sana sioni ata cha maana anachozungumza mara kalewa

Hivi waana habari wanakoswa kweli vitu vya kuhoji kwenye taifa hili hususani kwenye kipindi hiki cha uchaguzi?

Huyu hapa
Screenshot_2020-10-13-14-41-05.jpeg
 
Mambo ya wasifu sijui CV ndiyo yanatufanya wasomi wengi tusio wajanja tuwe maskini milele.. wajanja wanatumia fursa ambazo mtaa unataka..

Huyo chizi chikumbalaga sukari yao... usishangae akajenga nyumba fasta ama kuwa na maisha mazuri kuliko wewe msomi na digrii zako

Kwenye kampeni anapandishwa anasalimia viongozi wako.. ambapo wewe na degree zako ukiomba kuonana nao utawekewa masharti makali na hupewi ruhusa ya kuonana nao

Kwa ufupi huyo sio mzima wa akili ni chizi... sasa zama hizi za social network uchizi wake unawafanya watu wacheke wanapunguza stress.. mwisho wa siku makampuni yatamfata atangaze bizaa zao.. na hata kupewa fursa ambazo wewe msomi huwezi kupewa... sababu huwezi kuburudisha...
 
Huyo sukari yao... usishangae akajenga nyumba fasta ama kuwa na maisha mazuri kuliko wewe msomi na digrii zako

Kwenye kampeni anapandishwa anasalimia viongozi wako.. ambapo wewe ukiomba kuonana nao utawekewa masharti makali kama na hupewi ruhusa ya kuonana nao

Kwa ufupi huyo sio mzima wa akili ni chizi... sasa zama hizi za social network uchizi wake unawafanya watu wacheke wanapunguza stress.. mwisho wa siku makampuni yatamfata atangaze bizaa zao.. na hata kupewa fursa ambazo wewe msomi huwezi kupewa... sababu huwezi kuburudisha...
Huyo jamaa dishi limeyumba, halafu kageuzwa fursa.

Anatembezwa na watu wanapiga pesa: Just like wale wanaotembeza walemavu omba omba hapa Dar
 
Hapo nmekusoma
Mambo ya wasifu sijui CV ndiyo yanatufanya wasomi wengi tusio wajanja tuwe maskini milele.. wajanja wanatumia fursa ambazo mtaa unataka..

Huyo chizi chikumbalaga sukari yao... usishangae akajenga nyumba fasta ama kuwa na maisha mazuri kuliko wewe msomi na digrii zako

Kwenye kampeni anapandishwa anasalimia viongozi wako.. ambapo wewe ukiomba kuonana nao utawekewa masharti makali kama na hupewi ruhusa ya kuonana nao

Kwa ufupi huyo sio mzima wa akili ni chizi... sasa zama hizi za social network uchizi wake unawafanya watu wacheke wanapunguza stress.. mwisho wa siku makampuni yatamfata atangaze bizaa zao.. na hata kupewa fursa ambazo wewe msomi huwezi kupewa... sababu huwezi kuburudisha...
 
Jamaani hata mimi hiki ndicho kimenifanya nmzungumzie maana namuona wakati mwingine kwenye ndinga za maana
Huyo jamaa dishi limeyumba, halafu kageuzwa fursa.

Anatembezwa na watu wanapiga pesa: Just like wale wanaotembeza walemavu omba omba hapa Dar
 
Mambo ya wasifu sijui CV ndiyo yanatufanya wasomi wengi tusio wajanja tuwe maskini milele.. wajanja wanatumia fursa ambazo mtaa unataka..

Huyo chizi chikumbalaga sukari yao... usishangae akajenga nyumba fasta ama kuwa na maisha mazuri kuliko wewe msomi na digrii zako

Kwenye kampeni anapandishwa anasalimia viongozi wako.. ambapo wewe ukiomba kuonana nao utawekewa masharti makali kama na hupewi ruhusa ya kuonana nao

Kwa ufupi huyo sio mzima wa akili ni chizi... sasa zama hizi za social network uchizi wake unawafanya watu wacheke wanapunguza stress.. mwisho wa siku makampuni yatamfata atangaze bizaa zao.. na hata kupewa fursa ambazo wewe msomi huwezi kupewa... sababu huwezi kuburudisha...
Ukute hata hiyo akaunti insta aliyeifungua sio yeye wanamtumia tu watu
 
Huyo jamaa hiyo account haiendeshi yeye coz dishi limeyumba since way back, ni superstar kweli mitaa ya Tunduma hakuna event anayokosekana

wewe na huyo jamaa aliyeandika comment juu yako mmenichekesha sana japo habari ni ya kusikitisha
ndio maana mimi huwa sifuatilii haya mambo kabisa,siku ya kwanza namuona jamaa ni status na nikampuuza kabisa,ila uzuri hapa nchini kwetu ukiwa hauna utimamu kichwani utapata wafuasi wenye utimamu.
all in all hao wanaomtumia wangekuwa wastarabu wangemtafutia tiba aise
 
Wakimtafutia tiba wao watakula nin?
 
Back
Top Bottom