Nilifanya nao kazi hata kabla sijamaliza chuo, kwa uaminifu wangu na umuhimu wangu kwao walinifanya zaidi ya ndugu. Ila watu wengine hawakuwatreat vzr na walijua naumia kwa nn hawawatendei haki, nilitumia muda mwingi kuwatetea ila na ndugu zetu wengi wezi na wababaishaji huo ndio ukweli. Kwa ss nimeachana nao lkn huwezi amini nikiwa nna shida hata milion hata wawe kwao watanitumia tu. Kwa ujumla wachina walio wengi hawatuthamini, ila wapo walio poa na ukiaminiwa jiaminishe c kwa mchina tu hata penginepo hutojuta maishani.