Mwenye uzoefu na i koz

sumni7

Member
May 8, 2012
71
10
Wadau habar za saiz naomba mnijuze juu ya kozi ya food processing and engineering cjui chochote inausianaje!
 
Wadau habar za saiz naomba mnijuze juu ya kozi ya food processing and engineering cjui chochote inausianaje!

Inahusiana na suala zima la utambuzi wa usalama na ubora wa chakula vilevile kufanya research mbalimbali juu ya upatikanaji wa mbegu mpya kupitia mfumo wa teknolojia ili kukidhi mahitaji ya watu hasa ktk wakati huu ambapo population imekua kubwa.naamini kwa uwezo wake Muumba utaweza kutuondolea balaa la njaa tanzania.kwa undani zaidi visit google
 
Back
Top Bottom