W wamoro Member Joined Sep 16, 2009 Posts 62 Reaction score 16 Jun 13, 2012 #1 Wadau nimepiga interview world vision ila mwezi umepita naona kimya kabisa,naomba msaada kwa wenye uzoefu na ajira za world vision wanachukua muda gani kuita kazini baada ya interview. Manake presha iko juu kweli kweli na ugumu wa maisha haya.
Wadau nimepiga interview world vision ila mwezi umepita naona kimya kabisa,naomba msaada kwa wenye uzoefu na ajira za world vision wanachukua muda gani kuita kazini baada ya interview. Manake presha iko juu kweli kweli na ugumu wa maisha haya.
W wamoro Member Joined Sep 16, 2009 Posts 62 Reaction score 16 Jun 14, 2012 Thread starter #2 wadau....
E elie Member Joined Dec 17, 2010 Posts 9 Reaction score 0 Jun 14, 2012 #3 mkuu kuna mshikaji wangu keshaanza kazi sa sijui km mlikua interviewed pamoja..anyway don give up man
mkuu kuna mshikaji wangu keshaanza kazi sa sijui km mlikua interviewed pamoja..anyway don give up man
W wamoro Member Joined Sep 16, 2009 Posts 62 Reaction score 16 Jun 14, 2012 Thread starter #4 Dahh hapo kazi tena mdau,ameanza lini na yeye alifanya interview ya kazi gani mkuu? mi nilifanya mwezi uliopita.
Dahh hapo kazi tena mdau,ameanza lini na yeye alifanya interview ya kazi gani mkuu? mi nilifanya mwezi uliopita.
Ibrah JF-Expert Member Joined Mar 22, 2007 Posts 2,730 Reaction score 536 Jun 14, 2012 #5 wamoro said: Dahh hapo kazi tena mdau,ameanza lini na yeye alifanya interview ya kazi gani mkuu? mi nilifanya mwezi uliopita. Click to expand... Try to call them, watakwambia tu, kama usubiri au wenzio kazi wameshaanza.
wamoro said: Dahh hapo kazi tena mdau,ameanza lini na yeye alifanya interview ya kazi gani mkuu? mi nilifanya mwezi uliopita. Click to expand... Try to call them, watakwambia tu, kama usubiri au wenzio kazi wameshaanza.
W wamoro Member Joined Sep 16, 2009 Posts 62 Reaction score 16 Jun 14, 2012 Thread starter #6 Ibrah said: Try to call them, watakwambia tu, kama usubiri au wenzio kazi wameshaanza. Click to expand... Nashukuru mkuu kwa mawazo,
Ibrah said: Try to call them, watakwambia tu, kama usubiri au wenzio kazi wameshaanza. Click to expand... Nashukuru mkuu kwa mawazo,
Marga Senior Member Joined Jun 8, 2012 Posts 113 Reaction score 34 Jun 14, 2012 #7 Two weeks after interview wanakuita ukiona kimxa ujue wamekuweka akiba au hawakuridhika nawe
Marga Senior Member Joined Jun 8, 2012 Posts 113 Reaction score 34 Jun 14, 2012 #8 Two weeks after interview wanakuita ukiona kimya ujue wamekuweka akiba au hawakuridhika nawe
IGWE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,739 Reaction score 8,180 Jun 14, 2012 #9 Marga said: Two weeks after interview wanakuita ukiona kimya ujue wamekuweka akiba au hawakuridhika nawe Click to expand... Sure.....just ndani ya week mbili
Marga said: Two weeks after interview wanakuita ukiona kimya ujue wamekuweka akiba au hawakuridhika nawe Click to expand... Sure.....just ndani ya week mbili