Mwenye uwezo wa kunipatia or kunitafutia ajira plse nisaiedieni hata kwa kuinunua!

Gerald

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
290
46
Nina bachelor ya Computer science, Diploma ya IT na FTC ya Electronics & Telecommunication mwenye uwezo wa kunipatia or kunitafutia ajira kwa garama yoyote ile plse!
 
Msome Who Care hapa chini

Hiki chuo sikuizi mnajibiwa mitihani plus degree za chupi kisha mnamaliza vyuo kichwani hamna kitu mnajaziliza na masters za mba za ifm na tumaini nako mnafanyiwa paper plus chupi works kisha mnakuja mtaani kuomba kazi mtu hata kujieleza hajui unashangaa anamiliki masters..ukimwomba aelezee paperwork yake ya masters anaishia kujiinamisha na kujiumauma...

Kama unajua kweli ulisoma na ukaingia darasani ukafanya assignments na mitihani yako mwenyewe..ni pm nikupeleke sehemu ukapige interview na ufanye kazi..hakuana atakayekuomba mshahara wako ..kinyume cha hapo endelea kununua kazi kama mlivokuwa mkinunua pepa vyuoni.

nothing personal
 
mkuu si ujiajiri tu!yaani na maujuzi hayo yote hotihoti bado unataka uajiriwe tu!...
 
Ebu sema jinsia yako mara nikupe kazi maana factors zingne naona umefeli.
Umesema kazi kwa gharama yyte ila huna capital. sema jinsia ako.
 
Ebu sema jinsia yako mara nikupe kazi maana factors zingne naona umefeli.
Umesema kazi kwa gharama yyte ila huna capital. sema jinsia ako.

Ukiweza kunipatia ni PM kuhusu factors umejuaje kama nimefeli? mambo ya jinsia yanatoka wapi hapa
 
Ahsante kwa uhauri wako ila Capital inagomba

Maelezo yako yanaonesha tayari unamtaji/capital ndo maana umesema useaidiwe kutafuta, na ikipatikana, basi hata kama ni kuinunua, basi huko tayari.

Nakushauri fungua ofisi kwa hizo pesauizotaka kununulia ajira.
 
Pole gerald kwa majibu yote ambayo mengine ni ya fedhehedha naa kukatisha sana tamaa!
Uliweza Ni-PM niku-link na mshikaji mmoja who can assist you kwenye suala lako.
 
Pole gerald kwa majibu yote ambayo mengine ni ya fedhehedha naa kukatisha sana tamaa!
Uliweza Ni-PM niku-link na mshikaji mmoja who can assist you kwenye suala lako.

Mkuu ni kweli majibu mengine yanakatisha tamaa ila ipo michango mizuri na mibaya yote inabidi ukubaliane nayo.
 
Nina bachelor ya Computer science, Diploma ya IT na FTC ya Electronics & Telecommunication mwenye uwezo wa kunipatia or kunitafutia ajira kwa garama yoyote ile plse!

yaan jwtz na polis huna haja ya kuhonga nenda na vyet vyako tu hata vya KUGHUSH UNAPATA
 
yaan jwtz na polis huna haja ya kuhonga nenda na vyet vyako tu hata vya KUGHUSH UNAPATA

MMMhhh kughushi tena? wakati huu ni wagushi kitu kweli? si untaumbuka je naenda bila izo nafasi kutangaziwa? embu funguka kidogo naenda namwona nani pale, na wapi etc
 
Pole gerald kwa majibu yote ambayo mengine ni ya fedhehedha naa kukatisha sana tamaa!
Uliweza Ni-PM niku-link na mshikaji mmoja who can assist you kwenye suala lako.

Kajikoroga mwenyewe kwa kusema yuko tayari kuhonga_mara tena anasema hana capital...atahonga na nini sasa kama hana hela.
 
Kama una hela za kununua ajira kwanini usiamue kuzitumia hizo hela kuanzisha shughuli ya kujitegemea, kuwa mjasiriamali bwana usi base sana kwenye kuajiriwa kama una kauwezo chako.
 
Back
Top Bottom