Kocho
Senior Member
- Jun 5, 2013
- 120
- 21
Kumbuka kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania na SIYO NCHI!
Hata kwa katiba ya Zanzibar ya kabla ya 2010 ilisema Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania! Na hivi ndivyo Karume na Nyerere walivyoitunga na kuiacha!
Kusema Zanzibar ni nchi ni kuvunja katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania na ni UHAINI!
we una ropoka tu ka tundu la choo katiba gani ya Zanzibar ili tungwa na nyerere na karume mwaka gani usiandike vitu huna uhakika navo kwa taaifa yako Zanziar ina simamia mkataba wa muungano mambo 11 tu nyerere alifanya ujanja tu katiba ilikua ya muda baada ya mwaka Tanganyika iwe na katiba yake kama Zanzibar 1977 wakaunga vyama na kuleta hii katiba ya ccm. huu wakati wa www.com humtishi mtu