TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,423
- 8,653
- Thread starter
- #21
inamaana members wa JF wote hakuna mwenye hii account ya bonus aje kutoa comfimation hapaHabari wakuu:
Nataka kuweka pesa benki Tsh Milioni 40 wanadai wanatoa riba ya aslimilia 1.5 baada ya miezi 3 je ni kweli? Kuna mwenye ushuhuda wa hili?
CC. NMB Tanzania
