Mwenye ushuhuda kuhusu NMB bonus account

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,423
Reaction score
8,653
Habari wakuu:

Nataka kuweka pesa benki Tsh Milioni 40 wanadai wanatoa riba ya aslimilia 1.5 baada ya miezi 3 je ni kweli? Kuna mwenye ushuhuda wa hili?
 
NMB bonuse account

hizi riba zinauhalisia
IMG_20220428_120026_213.jpg
 
Yani 40m utafute faida ya laki 6 kwa miezi mitatu? Laki 2 kila mwezi?
sio mbaya kwangu kama watatoa 1.5%

kwasababu hii pesa milion 40 naiweka kama seving tu kwaajili ya fiture ya baadae

lakini kuna biashara zangu nafanya
 
Mkuu, 40 million ikopeshe Serikali!. Nunua hatifungani za Serikali za miaka 7 au 10 uwe unapata gawio kila baada ya miezi sita ... Au waone UTT - Amis wakusaidie kuziweka kwenye mfuko wao wa Bond. Hutojuta kamwe.
 
Habari wakuu:

Nataka kuweka pesa benki Tsh Milioni 40 wanadai wanatoa riba ya aslimilia 1.5 baada ya miezi 3 je ni kweli? Kuna mwenye ushuhuda wa hili?
Weka UTT liquid, wanatoa kwa wastani 1.1 percent kwa mwezi. Kuna 10m niliweka kule napata ongezeko la laki na ushee kila mwezi.
 
Mkuu, 40 million ikopeshe Serikali!. Nunua hatifungani za Serikali za miaka 7 au 10 uwe unapata gawio kila baada ya miezi sita ... Au waone UTT - Amis wakusaidie kuziweka kwenye mfuko wao wa Bond. Hutojuta kamwe.
Ushauri mzuri huu UTT ndio mpango mzima
 
Naomba utujuze unazungushaje 1,000,000.kwenye miamala? Na kupata faida?
Ipo hivi Kama una laini nne angalia active line tu...kwa nilipo Mimi Airtel na tigo tu ndio zinafanya kazi kwa Sana..kwahyo nachukua 400k naweka Airtel flot na 300k naweka tigo flot..halopesa na mpesa hazina faida Sana ...

Hakikisha flot haikatiki kwsbb wateja wengi siku hizi Ni vijana was kubet..zingatia kuweka flot kwa wakati ...km upo karib na wakala mkuu
 
Kwahiyo itabidi uombe uwakala ? Au unafanya vipi?
 
Hpn wewe jitahidi uwepo wa flot tu..km utaomba uwakala Ni fresh zaidi...
 
Back
Top Bottom