Bahati lucky
Member
- Jan 22, 2017
- 16
- 13
Ahsante kakaKila la Kheri mkuu maana wanawake waliyomo humu ni walewale waliyoko mtaani
Kwa Neema na Rehema za mwenyezi MUNGU ombi lako litafanikiwa na kuweza kupata hitaji lako
Mi nikupe namba za mdada ambaye ni mstaarabu ila ana miaka 26 xx na amesomea nursing lakini bado hajaajirwa ni mweupeeeNi mgeni sana ktk mtandao huu maarufu, nimejitokeza leo nami ntupe huku karata yangu kutafuta mke wa kuoa, na hii ni baada ya kuona jamaa zangu kama watatu wamefanikiwa kupitia Jf, umri wangu miaka 35 mtumishi wa serikali.
Sifa zake:
Awe mcha MUNGU
Awe na umri kuanzia miaka 20 -30
Dini yoyote
Nawasirisha!!!!!
Nimeona nikiendelea kusubiri hilo tangazo lako nitazeeka aisee!! Kwahiyo nabanana hapa hapa hadi kieleweke.
Tena mtaani una nafasi ya kuona mabaya yao ubakie moyo wako tu kufanya maamuzi, hapa nyuma ya key board ni mazuri tu utayaona.Kila la Kheri mkuu maana wanawake waliyomo humu ni walewale waliyoko mtaani
Kwa Neema na Rehema za mwenyezi MUNGU ombi lako litafanikiwa na kuweza kupata hitaji lako
Safi sana vigezo viko poa sanaNi mgeni sana ktk mtandao huu maarufu, nimejitokeza leo nami ntupe huku karata yangu kutafuta mke wa kuoa, na hii ni baada ya kuona jamaa zangu kama watatu wamefanikiwa kupitia Jf, umri wangu miaka 35 mtumishi wa serikali.
Sifa zake:
Awe mcha MUNGU
Awe na umri kuanzia miaka 20 -30
Dini yoyote
Nawasirisha!!!!!
Ninataka kujua kigezo cha bank a/c kama inasomeka.Safi sana vigezo viko poa sana
Lol umekuwa miss chagga?Ninataka kujua kigezo cha bank a/c kama inasomeka.
Hahaha mkono mtupu haulambwi, kama a/c inasomeka nitakuwa mke mwema, mpole, na mpishi bora na mengine mengi mazuri tu.Lol umekuwa miss chagga?