Mwenye Update ya Shortlisted katika Geita Gold Mine

Mwenye Update ya Shortlisted katika Geita Gold Mine

Joined
Feb 21, 2012
Posts
95
Reaction score
6
Wana JF naomba kujuzwa kuhusu Graduate Recruitment Program ya Mgodi wa Geita kama wamekwisha toa shortlist. Kama bado wakisha wezesha hilo kwa wale wenye taarifa naomba tusaidiane katika kufahamishana.

Natanguliza Shukrani.
 
Karibun sana kwa bwn Five na kwa wale ma-bi-Dada hasa walioko kwny Acc/Finance kuna mtu anaitwa Ankamah(mGhana) anawapenda sana na lazma hawa-employ(re-marry) kwenye Idara Yake










MENTION][/MENTION]
Huyo ni shemejiye HR manager wa GGM anayefahamika kama "FIVE"
 
Karibun sana kwa bwn Five na kwa wale ma-bi-Dada hasa walioko kwny Acc/Finance kuna mtu anaitwa Ankamah(mGhana) anawapenda sana na lazma hawa-employ(re-marry) kwenye Idara Yake]
Huyo Mghana alishamwaga manyanga siku nyingi tu, ila alituachia vigari tunaoshea mitaa ya Geita.
 
kama hukutoa laki 5 usitegemee jina litoke
 
Back
Top Bottom