Msaada wenu kwa yeyote ambae anajua applications za kuflash cmu ambazo zinaweza kufanya kazi kwenye windows 8 bits32 PCs plz naomba anisaidie na maujuzi kidogo
simu gani unayotaka kuflash? simu hazina njia moja ya kuflash. mf android mtu anaweza akawa na simu na usb tuu akaflash. kuflash inategemea na tatizo na aina ya tatizo.