Mwenye ujuzi wa kutoa Apple id iPhone 4

i phone 4 icloud inatoka ila itabidi uwe na tools kama 4 hivi
 
vp kwa iphone 5..??

tatizo nikupata root access to system files ndio issue bootloader lake iko more secured maana kwenye iphone 4 unaweza pata root access na ukadelete setup.app then simu itakuwa in emergency mode then unatumia tiny umbrella au redsn0w kisha inawaka kwa hizi mpya ndio tatizo maana iphone ukirestore inabidi hili file la setup.app licrash ili icloud nayo ifutike kwa hiyo kwa dsn server jaribu maana nlishawahi kucrash setup.app ila hautafuta icloud utabypass sasa hapo ndo ongeza knowledge yako mfano kwa ios 7 unaweza fanya kama unaturn off find my iphne na icloud ukafuta pia kama ukafanyikiwa kuroot (jail break) kazi inakuwa rahisi unadownload ifile then unafuta mafile ya icloud then unarestart inakuwa tayari
 
mimi nakwambia kama haijawa reported inatoka..mร ana nina ushahidi na ninachokisema...ww kama upo nayo haijawa reported(blacklisted)bas niambie nikupeleke ikatolewe

Haijawa reported wapi mkuu?
4s kwenda juu simu ikikwama kwenye activation lock unapotakiwa kuweka Apple Id hakuna kitu unaweza kufanya so far

Prove me wrong mkuu
I stand to be corrected!!!!!!
 
Haijawa reported wapi mkuu?
4s kwenda juu simu ikikwama kwenye activation lock unapotakiwa kuweka Apple Id hakuna kitu unaweza kufanya so far

Prove me wrong mkuu
I stand to be corrected!!!!!!

ni vipi kaka ninachojua mm kuna icloud ile mtu cm imepotea au imeibiwa so akaamua kushukuru mungu...hio ndio nasema mm so ile account yake inaweza kutolewa..ila ile cm imepotea/kuibiwa then mwenye cm akaenda kwenye find my iphone then akaireport kama imeibiwa/imepotea..so hio ndio inakua issue kutoka/kwa ufup haitoki kabisa
 
unajuaje kama simu imekua reported au lah,,?
 

Kivipi mkuu
Hebu jenga hata nadharia tu au provide a link kuonyesha inawezekana

Nijuavyo mimi haiwezekana zaidi ya scammer waliojaa online
 
Kivipi mkuu
Hebu jenga hata nadharia tu au provide a link kuonyesha inawezekana

Nijuavyo mimi haiwezekana zaidi ya scammer waliojaa online

hizo cm zinatoka..ila unalipia euro kama 120..mm rafk yng aliuziwa cm mbili hapa znz cjui kam walipigwa wazungu au vp ila zimetoka lock..kuna fund mmoja anaitwa david ni maarufu yupo hapa znz anatoa vzr tuu..kama una mwenyeji huko mwambie nimpeleke ofcn kwake..na kasema kama kuna cm ina iclod account lakin haijawa reported nimpelekee
 

Mkuu hela italiwa na zitakazo fuata ni sound tu
Oooh mshkaji aliniambia zake zilikubali

Kuna vitu ukisikia unajishughulisha pia kuupata ukweli wake, kama unalipoa euro inamaana ni huduma ya online, wapi link ?
 

Kama haiko reported inatoka, ikishakuwa reported SAHAU!
 
Asilani hamna mtu mwenye kuweza ku bypass iCloud

Sana mashahidi wengi wanabaki kuwa ni weZi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ