Mwenye ujuzi na elimu juu ya cryptocurrency namuhitaji

Mwenye ujuzi na elimu juu ya cryptocurrency namuhitaji

Take a look
IMG_20210727_134328.jpg
 
Kuepuka na money laundering, pesa zilikotoka uki withdrawal ndio zinakorudi! Mfano mimi niki transfer fund kutoka kwenye account yangu kwenda kwa broker. Nikitaka ku withdrawal lazima zipitie kwenye account hiyo hiyo.

Lakini sidhani scammers wana muda wa kukuingizia pesa nyingi kwenye akaunti ili waweze kukutapeli! Hiyo inawezekana ni demo account!
Kumbe kwenye cryptocurrency kuna demo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yan kwenye crypto mtu adeposit kweny real wallet yako afu iwe demo wabongo mbona mmekalili maisha Kwani kazi ya proof of work ninini?? Achen kuvuta bangi asubuhi
 
Ungekuwa mjanja zaidi usemavyo1m usingekuja kuulza umu
 
Kumbe kwenye cryptocurrency kuna demo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baadhi ya broka unapofungua akaunti unaweza pia kufungua demo account. Hiyo account unaweza kujifunzia kwenye shares, commodities, currencies, cryptocurrencies.
Siongelei e wallet.
 
Yan kwenye crypto mtu adeposit kweny real wallet yako afu iwe demo wabongo mbona mmekalili maisha Kwani kazi ya proof of work ninini?? Achen kuvuta bangi asubuhi
Ninaongelea broker account ya shares, cryptos….
Sio e wallet.
 
Baadhi ya broka unapofungua akaunti unaweza pia kufungua demo account. Hiyo account unaweza kujifunzia kwenye shares, commodities, currencies, cryptocurrencies.
Siongelei e wallet.
Platform gani unaweza fungua demo account ya kutrade au investing digital coin[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Amekutumia app gani mara trading apps huwa na hela ya demo kwa hiyo hakikisha kama hiyo unaweza itoa than nishtue
 
Wakuu,kuna hii biashara ya kununua sarafu mtandaoni, mimi naisikia tu sasa kama kuna mtu anaifahamu vizuri naomba atujuze ili tuweze kupata uelewa japo kidogo.
 
KWA UWELEWA WANGU
Cryptocurrency ni ela ya kimtandao km zilivyo pesa nyngn tofauti nikwamba aishikiki km ilivyo elfu 1000 y noti au 100 ya sarafu ela hii imetengenezwa kwa computer na device nyingine zinazo tumia processor
Mtu aliye tengeneza pesa hii ajulikani n nani ni tasisi au mtu binafsi au kikundi cha watu ila Lina Julikana jina tuh la SATOAHI NAKAMOTO sijajuwa km nimepatia jina la mwisho ila sio kesi
Pesa ya kwanza Kundwa ni BITCOIN
Pesa iyo ya kimtandao imeundwa kwa zumuni malumu
kwanza kufuta mtu,mfano tuchukulie tigo pesa unapo enda kutoa ela utaenda kwa wakala ss bitcoin aina ayo mambo
Pili kuweka usawa katika ela akuna sijui dora ni kubwa kuliko Tshilingi
Tatu
Nne
Na
Tano
Nitakuambia
 
Back
Top Bottom