Mwenye ujuzi na elimu juu ya cryptocurrency namuhitaji

colin_morgan

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
2,443
2,895
Habar wakuu ...kama kichwa cha habar hapo juu

Namuomba yeyote mwenye ujuzi juu ya cryptocurrency ajitokeze kuna kitu aniseidie kutatua

Iko hivi nili meet na manzi mmoja kwenye social network akaniambia kuhus habar za digital currency ila mm sina ujuzi juu ya hii kitu so nikamuambia sipo intrested...

Yeye akaniambia nifungue tu account ata deposit kwenye account yangu....some money so that we can trade...kweli after a while

Nimecheki account kasha deposit 10000 usdt

Je...hii kitu inaweza kua real or scammer...na kama real njoo uniseidie...tuzi transer into cash faster kabla ...hajazi lock ...

Mnakaribishwa .....wenye ujuzi..ukijiona hauna ujuzi au janja janja nying sio sahem sahihi kwako....cause utanikuta mm mjanja zaidi yako.
 
Oya mkuu, Cryptocurrency is real business but it comes to meet people in social networks to discuss about such issue, it's scammer bro. Anakuvuta kwenye mtego na hutaweza kuwithdrawl hizo usd unazoziona hapo kwenye akaunti yako, kuna mazingira Anakutengenezea ya ww kuweka pesa kabla ya kuzitoa hizo.
 
Tunazitoaje...hizi mkuu...hapo ndo nataka kujua
 
Vile tunachungulia jinsi unavyopigwa😁😁😁
AIAj0E.jpg
 
Habar wakuu ...kama kichwa cha habar hapo juu

Namuomba yeyote mwenye ujuzi juu ya cryptocurrency ajitokeze kuna kitu aniseidie kutatua

Iko hivi nili meet na manzi mmoja kwenye social network akaniambia kuhus habar za digital currency ila mm sina ujuzi juu ya hii kitu so nikamuambia sipo intrested...

Yeye akaniambia nifungue tu account ata deposit kwenye account yangu....some money so that we can trade...kweli after a while

Nimecheki account kasha deposit 10000 usdt

Je...hii kitu inaweza kua real or scammer...na kama real njoo uniseidie...tuzi transer into cash faster kabla ...hajazi lock ...

Mnakaribishwa .....wenye ujuzi..ukijiona hauna ujuzi au janja janja nying sio sahem sahihi kwako....cause utanikuta mm mjanja zaidi yako.
Kuna mawili hapo, 1.Unataka kupiga mtu, 2.Unataka kupigwa.
 
Kuna watu wajinga hata wakipigwa unasema ni haki yao:
1. Umekutana na demu kwenye social media
2. Aka-deposit US $10,000 kwenye account aliyokuambia ufungue!
Kafanye kazi ndugu yangu. Hakuna vya bure dunia hii. Unafanya mchezo na dola 10,000 ya bure. Utapigwa sasa hivi ubaki unalia kilio cha mbwa koko! Kama unabisha endelea.
 
Kitu cha mbele nami nasubiri.

Ungekuwa mjanja usingeuliza swali au kuomba ushauri kama huu. Hivi nani ana hela za kuchezea akutumie wewe dollar hizo! Hata wacheza kamali watakucheka, la sivyo muulize yeye mwenyewe namna ya kuzitoa na umwambie akutumie na ya kutolea!
 
Tunazitoaje...hizi mkuu...hapo ndo nataka kujua
Kwa kusoma post yako, inaonekana unaongozwa na TAMAA, so ni rahisi sn kupgwa kwa mtindo huo. Take a time to learn kwani unaharaka ya kwenda wapi? Technology yenyewe ndo kwanza ipo kwny development stage. YouTube ipo, vitabu vipo, quora ipo, pamoja na kutafuta mentor lakini ni lazima wewe mwenyewe ujitoe kusoma / kujifunza (kama lakin una mpango wa kufanikiwa kwny crypto world)
 
Habar wakuu ...kama kichwa cha habar hapo juu

Namuomba yeyote mwenye ujuzi juu ya cryptocurrency ajitokeze kuna kitu aniseidie kutatua

Iko hivi nili meet na manzi mmoja kwenye social network akaniambia kuhus habar za digital currency ila mm sina ujuzi juu ya hii kitu so nikamuambia sipo intrested...

Yeye akaniambia nifungue tu account ata deposit kwenye account yangu....some money so that we can trade...kweli after a while

Nimecheki account kasha deposit 10000 usdt

Je...hii kitu inaweza kua real or scammer...na kama real njoo uniseidie...tuzi transer into cash faster kabla ...hajazi lock ...

Mnakaribishwa .....wenye ujuzi..ukijiona hauna ujuzi au janja janja nying sio sahem sahihi kwako....cause utanikuta mm mjanja zaidi
Kuepuka na money laundering, pesa zilikotoka uki withdrawal ndio zinakorudi! Mfano mimi niki transfer fund kutoka kwenye account yangu kwenda kwa broker. Nikitaka ku withdrawal lazima zipitie kwenye account hiyo hiyo.

Lakini sidhani scammers wana muda wa kukuingizia pesa nyingi kwenye akaunti ili waweze kukutapeli! Hiyo inawezekana ni demo account!
 
Back
Top Bottom