Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,376
Habari wana JFMie natumia computer ya Dell Optiplex GX620 (desktop), tatizo ni kwamba inanisumbua hasa kwenye upande wa networks.Nikiweka moderm ya vodacom ikisha itambua tu inajizima then inatokea background ya rangi ya blue yenye maandishi meupe mengi!! Nimesoma lakini hayaoneshi tatizo hasa liko wapi zaidi ya kusema tu kuwa huenda kuna program inaidhuru computer!!! Nikaamua kuiformat na kuistall Window 2003, Kaspersky na modem ya voda tu lakini tatizo linaendele!!!Wenye ujuzi wa haya mambo tafadhali msaada wenu unahitajika