Dell Optiplex GX620 Msaada

TBT BOY

Member
Jan 13, 2012
13
3
[h=6]Niaje?
Dell Optiplex GX620 Ukiiwasha inawaka lakini inaonyesha rangi ya Orange huku hikifatiwa na beep inayo piga mara 3 na kwenye Screen haionyehi kitu chochote. Nilipo ifungua nikagundua kama POWER SUPPLY inawaka baada ya sec chache FENI ya POWER SUPPLY inajizima, POWER SUPPLY nimeijalibu kuipima nje ninzima na FENI inazungulisha vizuri. Je wakubwa hapo tatizo litakua ni nini? Samahani jamani NIMEKWAMA.
[/h]
 
Niaje?

MSAADA WA HARAKA KWAKO.

1.Chomoa nyaya zote za P/supply zinazopeleka moto ktk CD rom,Hdd,Fdd na sehemu nyinginezo then chomeka upya kwa kuzibadilisha.
2.washa computer yako ucheck kama imekubali.
3.Iwapo tatzo bado hamia upande wa processor fungua na uitoe afu uiweke vyema na kuweka Heat sink Compound.
4.check RAM zako kama zipo sawa then Iwashe.
Kama tatizo bado lipo pale pale ni PM mkuu
 
Power supply is dead,weka nyingine
Kuwa makini kwenye waya za power supply Dell wanautofauti ktk wayaring za power supply
 
ktk pc nyingi beep tatu humaanisha memory imekufa au hakuna, nakushauri utoe memory na kama ikiendelea kama mwanzo ukiwasha utalazimika kubadili memory mpya fan ya computer ni automatic kama pc ipo mahali pasipo na joto huweza kusimama hata isizunguke while pc is on, mfaano sehemu zenye ac kali hata kama activity ktk processor ni kubwa still cpu haiwezi kupata joto kubwa
 
Back
Top Bottom