Mwenye ufahamu wa hii speech tafadhali....when Am looking at Africaa

Mwenye ufahamu wa hii speech tafadhali....when Am looking at Africaa

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
8,351
Reaction score
8,088
Kipande nilichonacho kinaanzia hapa nilirushiwa kwa whatsapp...

When am looking at Africaaa,
Many questions comes to mind.
Everytime I ask my self, what would happen if Mwalimu was to rise up and see what is happening. What would happen if Patrice Emily Lumumba was to rise up.....because of what they will be confronted with.

They ll be confronted with sn Africa with young man and woman are constantly humilliated at the embasies of european and America as they seek for almighty green card.

Nahitaji yafuatayo

1. Hii speech ilitolewa na nani na ilitolewa wapi?
2. Full speech inapatikana vipi?

Ahsante sana.
 
kama kumbukumbu zangu zipo sahihi ni Prof. Patrice Lumumba akiwa Uganda
 
Ninayo kama unaitaka tuma no yako ya whatsap nikurushie mkuu.

Ni prof. lumumba
 
Hiyo speech ilitolewa na professor patrice lumumba. Katka tamasha la kigoda cha Mwalimu Julius nyerere mwaka 2014,nkurumah hall (UDSM). Wanafunz weeeng wa udsm hasa wale ambao wapo interested na political issues wanayo au kama una fahamiAna na muhadhiri yyte pale udsm anaweza kukusaidia namna ya kuipata.
 
Mie pia nisubiri

!
!
they ll be confronted with an Africa where young man and weman are not proud of their continent.....even the food has the foregn name. When we fried potatoes we call them frencfries even when they are fried in Dar Es Salaam.
 
Prof. Patrick Lumumba .O. ni mkenya alikuwa anafundisha Chuo kikuu cha Nairobi. Na amewahi kuongoza taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Kenya. Baada ya kuwanasa vigogo wengi mtegoni aligeuziwa kibao na kuonyeshwa mlango Wa kutokea.

PLO ni miongoni mwa wanaharakati waliopigania ukombozi wa pili Kenya. Alialikwa pia hapa Tanzania kuwa mpatanishi kwenye lile zengwe uandaaji Wa katika mpya.

Speech zake mbalimbali zinapatikana kwenye YouTube.
 
Tungekuwa na maprof kama lumumba wawili tunge kuwa mbali sanaa
 
ni Prof. PLO Lumumba Aliitoa kwenye kigoda cha mwalimu Nyerere Udsm, 2014. Mwenye Nayo Tafadhari Aiweke me pia nmeitafuta sana.
 
ni Prof. PLO Lumumba Aliitoa kwenye kigoda cha mwalimu Nyerere Udsm, 2014. Mwenye Nayo Tafadhari Aiweke mie pia naitafuta sana.
 
speech ya lumumba plo akiwa ukumbi wa nkurumah udsm kwenye kigoda cha mwalimu mwaka jana,ngoja nikutafutie kuna jamaa anayo.
 
ni Prof. PLO Lumumba Aliitoa kwenye kigoda cha mwalimu Nyerere Udsm, 2014. Mwenye Nayo Tafadhari Aiweke me pia nmeitafuta sana.
Ninazo mbili, nyingine ya Uganda.Nilishajaribu kufungua uzi nikashindwa ku-upload
 
Hiyo speech ilitolewa na professor patrice lumumba. Katka tamasha la kigoda cha Mwalimu Julius nyerere mwaka 2014,nkurumah hall (UDSM). Wanafunz weeeng wa udsm hasa wale ambao wapo interested na political issues wanayo au kama una fahamiAna na muhadhiri yyte pale udsm anaweza kukusaidia namna ya kuipata.

!
!
wakiona wataiweka hapa nadhani Eti tunamainjinia ambao hawawezi kutengeneza hata barabara.
 
Prof. Patrick Lumumba .O. ni mkenya alikuwa anafundisha Chuo kikuu cha Nairobi. Na amewahi kuongoza taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Kenya. Baada ya kuwanasa vigogo wengi mtegoni aligeuziwa kibao na kuonyeshwa mlango Wa kutokea.

PLO ni miongoni mwa wanaharakati waliopigania ukombozi wa pili Kenya. Alialikwa pia hapa Tanzania kuwa mpatanishi kwenye lile zengwe uandaaji Wa katika mpya.

Speech zake mbalimbali zinapatikana kwenye YouTube.

!
!
kwa kuwa nishapata jina lake nadhani nitamsearch youtube nione kama ipo hiyo.
 
Back
Top Bottom