1. Kama laptop haina dedicated graphics kuweka ram 2 kwa mpigo inasaidia, inaongeza bandwidth na kuboost graphics kidogo.
2. Games za kisasa nyingi zinataka 8GB ram.
3. Games kuganda linaweza kuwa tatizo la cpu, ram, Gpu etc hivyo unatakiwa ujue kwanza inaganda sababu gani, unatumia windows 10? Kipindi linaganda fungua game centre utaona resource zinavyotumika, na utajua tatizo lipo wapi.