Mwenye ufahamu jinsi ya kuhamisha mkopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye ufahamu jinsi ya kuhamisha mkopo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by alexmahone, Sep 26, 2012.

 1. alexmahone

  alexmahone JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Ndg yng amepata vyuo viwili st joseph songea course ni computer with education alichaguliwa na tcu.,pia amepata mzumbe course ni belm aliomba directly..mkopo umeelekezwa st joseph.,yy anataka kuupeleka mzumbe ili akasome huko..
  Je ni hatua gani achukue..?
   
 2. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  wasiliana na bodi ya mikopo issue inatatulika
  afatilie admission zake mzumbe kwa ajili ya kujiunga na chuo
  nafikiri vyuoni huwa kuna msaada mkubwa sana hasa kupitia serikali ya wanafunzi huwa kuna wizara ya mikopo ambay inadili na issue kama hizi
   
 3. alexmahone

  alexmahone JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Thnx kwa ushauri
   
Loading...