Duuuu! Kwahiyi kama alikuwa mwl ndo anarudi kushika chaki?Mkuu hao walioachwa wanaendelea kuwa watumishi wa umma kulingana na proffession zao
Ila ndo wanarudi kwenye mabenchi ya ofisi za maRAS na maDED
Wengi wao huishia kupata sukari na BP
Hapana ila atakuwa placed ofisi ya afisa elimu anazuga zuga tu paleDuuuu! Kwahiyi kama alikuwa mwl ndo anarudi kushika chaki?
Assume hawa wa sasahivi waliookotwa okotwa siku nao wakiondolewa watakuwa na kazi gan?Hapana ila atakuwa placed ofisi ya afisa elimu anazuga zuga tu pale
Mara nyingi huwa hawapewi kazi kwa kuoneana aibu mwisho wake hupata stress
Kama huelew pita kimya sio lazima uoneshe utaahira wako hapaKila mtawala anayo vigezo yake kwahiyo kwa sasa kamuulize mwenyewe
Hapo ndo utata ulipo maana wakurugenzi ni watumishi wa umaKwa uelewa wangu najua mkurugenzi hateuliwi na rais huteuliwa na katibu mkuu wa utumishi. Pili, it's not a political post ila sasa mwaka huu naona kimekuwa ni cheo cha kisiasa pia. Rais ana uwezo wa kutea mkurugenzi wa jiji na manispaa tu.
Hahaha una Mil 7??awamu hii sifa kubwa ya kuteuliwa ni kuwa kada,sifa ya pili ni kumsifu baba ***** kwa kila jambo
wanajf wenzangu watanichangia mkuuHahaha una Mil 7??
Tukikuchangia mwongozo utaombwa bungeni hahahahawanajf wenzangu watanichangia mkuu
Hapo ndo utata ulipo maana wakurugenzi ni watumishi wa uma
Bora hao ila tutafika kwa mahead masterKwa style hii atateua hadi wahandisi wa halmashauri
wabunge wao wengi vilazaTukikuchangia mwongozo utaombwa bungeni hahahaha