Mwenye uelewa na uzoefu wa Neontal Mastitis and Witch milk

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari JF,

Kuna hii condition wataaramu wanaita "Neonatal Mastitis" au "enlargement of breast for a newborn" ambapo mtoto wa baada ya kuzaliwa anavimba matiti awe wa kiume au wakike baadae inaweza tokea akaanza kutoa maziwa ambayo yanaitwa "witch milk" maziwa ya kichawi inasemekana wachawi unyonya hayo maziwa kwa watu wenye imani za kishirikina ndio usema hivyo.

Mdau kama mtoto wako alishapatwa na hii kitu wakati ana wiki za kwanza kwanza ebu tupe uzoefu uli react vipi?
 
Kwa mtoto wa kiume unabinya hiyo chuchu hadi inatoa damu damu. Ila kwa mtoto wa kike usijaribu kuibinya. Ukibinya chuchu ya mtoto wa kike ujue ndo hataota ziwa kabisa hivyo anakuwa mlemavu wa matiti.
 
Back
Top Bottom