Mwenye uelewa na hili land cruiser 2016

Mwenye uelewa na hili land cruiser 2016

Ukaridayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
518
Reaction score
484
Hili dude nilibahatika kuona makala yake KBC wakilielezea lakini kwa bahati mbaya sikuambulia kitu...

Ktk kipindi cha IGNITION pale KBC walilimwagia sifa kem-kem hadi nikastaajabu...

Nimeona nianzishe uzi ili wale wakali wa mashine watuelezee vzr... TOYOTA LAND CRUISER YA 2016 ina kipi kipya..
Kwa matoleo yao ya diesel na petrol.

Hii V8 landcruiser 2016 ichambuliwe mwanzo mwisho.

Mwisho ningependa kufahamishwa hivi kwa mjapani gari yake kubwa yenye ingine ya V8 ni landcruiser tu ama ana gari nyingine alizozibebesha huo mzigo?

 
Daah. No wonder wateule wanapambana kutoa matamko ili waonekane waendelee kuufaudu haya madude.
 
Mkuu umetisha ila fanya kazi uweze kulimiliki hili
 
Hio mashine ni hatari sana.. Tutafute hela tu vijana wenzangu japo peponi kupo ila ni raha kuanza mazoezi ya peponi ukiwa nchini!
Tena ukute ndo kila kitu unalipiwa na ofisi....dereva, mafuta, service. Full PEPO!
 
sio kweli gari ya mjapan toyota zenye mpangilio wa cylinder 8 kwa muundo wa V ni toyota cruiser tu ...zipo kadhaa za hvo na sio land cruiser tu......labda ww unaijua cruiser tu
 
Aisee wacha tujipange hata kwenye udiwani tunaweza kuangukia hata unaibu meya tule kiyoyozi.
 
Hivi hili limezizidi nini gari kama audi au lamboghini au bugatti veyron
 
Back
Top Bottom