Mwenye uelewa na hili la HESLB

Mwenye uelewa na hili la HESLB

Kidava1

Member
Joined
Jul 1, 2022
Posts
31
Reaction score
24
Samahani kwa usumbufu kwa mwenye uelewa na hili mimi jina langu la kwenye vyeti na NIDA linatofautiana kidogo kwenye vyeti linasomeka ALY ABDALLAH KIDABI na kwenye nida inasomeka ALY ABDALAH KIDABI.

Je, inaweza kupelekea kukosa mkopo?
Je, nikiapa mahakamani kwenye kuomba mkopo kuna sehemu ya kuaproad kiapo?

Natanguliza shukrani.
 
Jana walikua na session Google meeting nadhan na leo watakuanacho kuanzia saa kumi tembelea page yao ya Instagram kupata link ya kuingilia kwenye kikao unlike wanamaelezo mazr na wanajib kila swali.. kwa jana kuna mtu aliuliza walisema haina shida labda kama jina ni tofauti jina zima ila tofaut ya kusahaulika herufi moja ni minor na haina shida
 
W

Alisema kua ndio maana tuna kua na reference zaid ya moja kuna cheti cha kuzaliwa na taarifa za elim so hain shida kabsa.
 
Nenda Mahakamani uchukue kiapo na uambatishe.

Hakutakuwa na reject kwenye maombi yako iwapo utakuwa na kiapo cha Mahakama.

Ila hakikisha unazo sifa zote za kuwa mnufaika wa Mkopo kabla hujaomba.
 
Kiapo hakuna sehem ya kuattach wakati wa kuomba mkopo labda kama ataattach wakat wa Appeal ila kwenye maomb inatumika namba tu ambayo pia kwa changamoto yake inatambulik sio kubwa
 
Basi mambo yamebadirika, nafikiri afanye kama ulivyoshauri
 
Samahani kwa usumbufu kwa mwenye uelewa na hili mimi jina langu la kwenye vyeti na NIDA linatofautiana kidogo kwenye vyeti linasomeka ALY ABDALLAH KIDABI na kwenye nida inasomeka ALY ABDALAH KIDABI.

Je, inaweza kupelekea kukosa mkopo?
Je, nikiapa mahakamani kwenye kuomba mkopo kuna sehemu ya kuaproad kiapo?

Natanguliza shukrani.
Ahsante
 
Nilikua na hiyo shida wakati naomba HELSB mwaka jana sikia badilisha cheti cha kuzaliwa RITA online kwa refference ya cheti cha FORM 4 then nenda kabadilishe NIDA kwa kigezo jina limekosewa , ni process kama ya mwezi na nusu hivi na gharama kama elf 50 tu
 
shukran
 
Back
Top Bottom