goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 967
- 1,207
jamani nimeona post moja wasap kuhusu uhamisho wa mwezi june ikielezea watumishi wa mkoa wa Dodoma waliohama. Kuna mtu yeyote mwenye tetesi za lini majina yatawekwa kwenye mtandao kwa wote
Dodoma wamehama? Kwanini watoe mkoa mmoja ? Fafanua vizuri bosi
nipatie hiyo email tafadhaliKuna uhusiano mkubwa tu, ila kama hutaki kuamini shauri yako, uhakiki ukiisha ndio utahamishwa.
Msibishe bila kuwa na data jamani, utumishi wana email ya msaada tuma email uliza utajibiwa, sio mnabisha tu kama kasuku
Ingia kwenye website ya utumishi, home page utaiona email na namba ya simu .nipatie hiyo email tafadhali