Mwenye tatizo la laptop battery

Mwenye tatizo la laptop battery

mdau Laptop yangu ni Toshiba,kwanza ilikua inasumbua adaptor,then betri,ni kwamba napoweka chaji, inanambia zile asilimia za chaji kama kawaida ila inasema not charging
mfano now inasoma 67% available,plugged in,not charging,na nimenunua betri nyingi tatizo bado,
some tym chaj inaisha kabisaa,na laptop inakua kama T.v yaani ukitoa plug inazimika,tatizo ni nini???????????
kaka tatizo lako nalijua ni la adapter call me 0779420000
 
Back
Top Bottom