Mwenye taarifa zozote kuhusu D' Banj

Ngarenaro

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
308
45
Kuna taarifa nmeckia kuhusu mwanamuziki huyu kutoka Nigeria but not confirmed, ni kweli amefariki?
 
Na we nawe unajisikia Ku-post ama Niajee ?..kama umeweza ingia humu umeshindwaje ingia Google ukapata Habari unazotaka.

Sent from my BlackBerry Porsche using JamiiForums
 
Hivi huyo ndiye aliyekana ule ujauzito wa Genevive, hata kama ana songs nzuri, sijui cash pia, afe tu, alimdhalilisha sana Dada wa watu
Kuna taarifa nmeckia kuhusu mwanamuziki huyu kutoka Nigeria but not confirmed, ni kweli amefariki?
 
Kweli nimeona google, amepigwa risasi nchini Marekani na unknown person, bado nitaifuatilia vizuri later ili nielewe why
 
Good, amekataa, ameibuka some minutes ago na kusema yuko ok, na hizo rumours ni nonsense, teh, teh, teh
 
Good, amekataa, ameibuka some minutes ago na kusema yuko ok, na hizo rumours ni nonsense, teh, teh, teh

upo upande upi sasa!? Maana mwanzoni umesema "ngoja afe", sasa hv unadokeza kwa kidhungu zaidi "Good" kwamba yupo hai.
Au ndo'nyie akina "kote kote"
 
Wacha nimhurumie tu , maana alivyonikeraga!, ni good sana kwa wale mashabiki wake wa sana sio Mimi
 
Guys hiyo taarifa siyo ya kweli,hiyo taarifa ilikuwa ya april 1 siku ya wajinga,na siyo habari mpya
 
Na we nawe unajisikia Ku-post ama Niajee ?..kama umeweza ingia humu umeshindwaje ingia Google ukapata Habari unazotaka.

Sent from my BlackBerry Porsche using JamiiForums

Kaka mbona umekuja na moto sana, ona wenzako hapo juu walivyochangia kwa ustaarabu, by the way, it wasn't necessary that you should have to comment, cause you added nothing tangible.

Live long D'Banj
 
Back
Top Bottom