unazungumzia customer support?nafasi zilikua 6 na sio 80.inawezekana barua yako haikufika mkuu.Daaah wazee mi naelekea baharini kuoga eti sjoana jina langu na nili apply ile yenye post 80..majina 841 simo...dah ngoja nkaoge tu maji ya bahar halafu niende nkalime
Mkuu kwan zile zenye post 80 ni ipi ???? Hakukua na ambayo ilikua na pst 80unazungumzia customer support?nafasi zilikua 6 na sio 80.inawezekana barua yako haikufika mkuu.
Mkuu nimeshika gazeti saivi ...ni pm jina lako na post uliyoomba mana kamera yang haina mwanga wa kutosha labda kama ntajaribu ...kwa hiyo,tang'ana una maana custom support zile post 6, ndo wameshortlist watu 841? jaman mwenye majina tunaomba atutupie basi maana sisi wengine tupo mkoa, tusaidiane.
Dah ndo ivo mkuu...nchi yetu hii sjui tunaelekea wapiduh!hivi huko serikalini hawana hrs wenye akili timamu?nini maana ya shortlist sasa..yani nafasi 6 watu 841?
Kaka gazeti mimi ninalo.. Uliomba customer support au nianze ku snapshot kada gani?Mwenyewe gazeti msaada pls
I phoneSE haiongopi. Uongo?
Asante tuweke yote basi kama hautojali.pole kwa usumbufu.
Zinachuku muda sana kuload.. LTE ya tigo inazingua na zipo nyingi sana .. Kama mtu ana watsapp anaweza kuni pm namba nimtumie zote at once .. But nitajaribu kuzi upload zote japo sitaweza kuziweka zote kwa leo zitakazobaki nitaweka kesho.. Ila pamoja wadau..Asante tuweke yote basi kama hautojali.pole kwa usumbufu.
Naomba unisaidie ya station assistantKaka gazeti mimi ninalo.. Uliomba customer support au nianze ku snapshot kada gani?
Msijali wadau nitaweka majina yote i hope IPHONE SE haitaniangusha..
Mkuu kwan zile zenye post 80 ni ipi ???? Hakukua na ambayo ilikua na pst 80