Mwenye taarifa za DART kuita interview

Kweli hii nchi ina wenyewe.. Dah!!
 
mi nashangaa tushapiga interview siku nyingi japo mi nilichemka
 
Duh wamekula kichwa ... Ngoja tukazifate Mali shambani mana hakuna namna
 
Kama vp watulipe pesa zetu tulizotumia kupost barua!!!
 
Punguzeni presha awajaita bado wangeitwa wangejaza uwanja wa taifa
 
nafasi zimetolewa interview DUCE angalieni mwananchi Leo 17 may
 
Daaah wazee mi naelekea baharini kuoga eti sjoana jina langu na nili apply ile yenye post 80..majina 841 simo...dah ngoja nkaoge tu maji ya bahar halafu niende nkalime
 
yyte aliye nunua gazeti la mwananchi la leo tunaomba please atufanyie msaada maana wengine tupo mkoani uku gazeti linafika baada ya siku tatu, nipo hapa kigoma mpakani karibu na rwanda niliomba ili nikipata nirudi Dar maana, hali ya uku kigoma nacheza na warundi mda wte jamna tusaidiane.
 
This site has been blocked by the network administrator.
Block reason: Gateway GEO-IP Filter Alert
IP address: 41.222.181.189
Connection initiated from country: Tanzania, United Republic of
UHUU Ndo upuuzi uliopo kwenye website yao kwa leo, hivi uhuu mradi una milikiwa na Kisena na Wahindi nini? Yani wameniboaje aise mi nipo kibondo nategemea nisome kwenye website hakuna kitu
 
Kaka mimi sasa hivi naenda kununua gazeti.. Nitali snapchat na kulituma hapa... Muda si mrefu
 
Website yao hawatoi kila kitu hata kazi hawakuziweka kwenye website zao pia
 
kaka utakuwa umenisaidia sana, nasubilia uduma yako mkuu, na Mungu abariki, pale ulipotoa fedha na kulinunua Gazeti. nasubri mkuu! Mungu awe na wewe chief.
 
kaka utakuwa umenisaidia sana, nasubilia uduma yako mkuu, na Mungu abariki, pale ulipotoa fedha na kulinunua Gazeti. nasubri mkuu! Mungu awe na wewe chief.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…