Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,180
Hivi kweli majina yametumwa halmashauri nachoamini huu mtandao hakuna habari fake fake werevu naombeni majibu sahihi kozi niko mbali na halmashauri niliyoombea nimesafiri dah
Kwamba kusemaje?Kuna watu wamepita leo wamevaa Tshirt na Kofia za Sensa
Hahaha nyangao umesepa mjubaWe si ndo Mzee wa kusawazisha,, sawazisha basi tujue ukweli.. Binafsi Niko njombe na Nina jamaa zangu wapo Halmashauri moja hapa hizo habari sijazipata kabisa
Fatilia uziWe si ndo Mzee wa kusawazisha,, sawazisha basi tujue ukweli.. Binafsi Niko njombe na Nina jamaa zangu wapo Halmashauri moja hapa hizo habari sijazipata kabisa
Weka mkekaTaja jina wadau wakuangalizie
Si mtume tu? Acheni izoTaja jina wadau wakuangalizie
Kwaiyo sahivi wanatuchuja aseemaombi ya Kazi za Muda za SENSA
Pitieni hapo mpate kujua