A Abdul kiyuti New Member May 26, 2017 4 0 May 27, 2017 #1 Wadau wenye taarifa zozote kuhusu zoezi la kufanya marekebisho ya majina ktk benki yafanane na data za utumisho afafanue
Wadau wenye taarifa zozote kuhusu zoezi la kufanya marekebisho ya majina ktk benki yafanane na data za utumisho afafanue
wiseboy JF-Expert Member Mar 22, 2011 2,930 3,304 May 27, 2017 #2 Hivi kati ya waliokamatwa na vyeti fake kuna yoyote aliekosa chake mwezi huu??
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,588 May 27, 2017 #3 Mimi binafsi bado sijapata hizo taarifa...ngoja wenye nazo waje
A Abdul kiyuti New Member May 26, 2017 4 0 May 27, 2017 Thread starter #4 Kuna tetezi baadhi ya wilaya washaanza kuitwa
Jabman JF-Expert Member Jul 27, 2016 1,005 1,337 May 27, 2017 #5 Nenda kwa Afisa utumishi wako anayo majina ya pande zote yaani ya mshahara na benk. Cheki kama yanafanana. Yasipofanana anamajibu pia.
Nenda kwa Afisa utumishi wako anayo majina ya pande zote yaani ya mshahara na benk. Cheki kama yanafanana. Yasipofanana anamajibu pia.
BUMIJA JF-Expert Member Oct 19, 2011 5,937 11,258 May 27, 2017 #7 Kama jina lako lililipo hazina haliendani na la bank mishahara unapopitia ndo unaenda kwa Afisa utumishi kurekebisha au bank
Kama jina lako lililipo hazina haliendani na la bank mishahara unapopitia ndo unaenda kwa Afisa utumishi kurekebisha au bank