Mwenye taarifa kuhusu matokeo ya vyuo vya afya, diploma na certificate atujuze

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,815
Habarin humu!!

Naona Kama mwaka huu matokeo ya vyuo vya afya kwa hawa diploma na certificate(clinical officers na clinacal assistant) yamechelewa kidogo, mwenye taarifa kuhusu matokeo hayo pls alete update
 
Mkuu naweza kusoma certificate of medicine au certificate of pharmaceutical huku nikiwa kazini maana nafanya kazi ya ulinzi naingia usiku tu kuanzia SAA kumi na mbili jioni chuo ninacho jirani sana hapa naweza maana naingia kazini siku mbili per wiki mkuu
 
daah hawa nacte siwaelewi kabsa inakuwaj mpaka sasa matokeo hawajatoa na wala hakuna taarifa zozote kuhusu kuchelewa kwa matokeo l..
 
Mkuu naweza kusoma certificate of medicine au certificate of pharmaceutical huku nikiwa kazini maana nafanya kazi ya ulinzi naingia usiku tu kuanzia SAA kumi na mbili jioni chuo ninacho jirani sana hapa naweza maana naingia kazini siku mbili per wiki mkuu
Mkuu ni ngum kdg kwa vyuo vya afya kusoma day.. Labda uongee na uongozi wa hapo
 
Back
Top Bottom