ogunde Daniel
Member
- Mar 11, 2017
- 77
- 24
Ndugu habari hii kuhusu Benn Saanane ,Chadema wanayo Full story.
Muda utafika tu kila kitu kitakua wazi.
Haiwezekani Mboe akae kimya kupotea kwa msaidizi wake wakaribu hivihivi.kuna jambo zito nyuma ya pazia.
Kumbuka hawa jamaa ingekua serikali inahusika,hapo ndo huwa wanachukulia maksi za ujazo.
Lakini kimya kama vile hatujawahi kuwa na mtu anaitwa Ben Saanane.
Kiukweli inasikitisha sana.