Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,147
- 2,630
Mimi naanza na huyu Dikteta Bokassa,
Huyu bwana kuna stori moja ya kutisha sana alishawahi kufanya kipindi cha utawala wake huko Afrika ya kati, kwenye msafara wake alipita shule moja iliyokuwa karibu na barabara wanafunzi walikuwa madarasani, alichukizwa kwanini wanafunzi hawajaja kumpa mkono wa kheri barabarani, alitoa amri ya kuusimamisha msafara wake na kuamuru wanafunzi wote watoke madarasani mwao na walale chini barabarani kwa mstari mmoja ulioonyooka, kisha akamwamuru dereva mjeda wa gari kubwa la kijeshi awapitie watoto wote kwa lile gari kuwakanyaga wale watoto chini pale, mjeda wa kwanza aligoma akamshoot risasi na kumwamuru mwingine afanye hivyo, huyo wa pili alifanya kwa shingo upande, ila huyo mjeda dereva wa pili baadaye alijiua kutokana na ile picha mbaya ya kuwaswaga watoto...Huyo ndo Dikteta Bokassa....
Kama una stori yoyote ya madikteta wengine waweza ongezea tupate elimu tosha juu ya historia ya mambo yao kwenye tawala zao
Karibuni sana!!