Mwenye sifa hizi anatafutwa.

Mwenye sifa hizi anatafutwa.

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,480
Reaction score
946
Habari zenu wana jamvini,
Nimekaa kwa muda mrefu nikitafakari mwanamke gani niweze kumuoa ila leo nimeona ndo siku nzuri yakuweza kutaja ni mwanamke menye sifa gani ambaye ninamwihitaji.

Sifa ni kama zifuatazo;
Awe mweusi sana, awe mrefu kama 8inch, awe mnene sana lakini asiwe na kitambi,
awe hana nywele yaani kipara, awe anapenda kununu muda wote, awe anajua kupigana,
awe hapendi chips wala simu, awe mpenda MUNGU, awe mchapa kazi,
awe hajui kusoma ili hata nikitaka simu anipe endapo akitumiwa sms,
awe hapendi vitu vya gharama.
umri ni kuanzia miaka 18-50.

Kama yupo jamani tafaathali anitafute sasa hivi.
 
ungekua vizuri ukazama pande za sitimbi wapo wengi manake humu qualification ulizozitaja ni nzito coz wote tunaingia jf kwa kutumia mtandao sasa unategemea hatujui kusoma,ngoja nikuunganishie kwa bibi yangu kizaa bibi
 
Habari zenu wana jamvini,
Nimekaa kwa muda mrefu nikitafakari mwanamke gani niweze kumuoa ila leo nimeona ndo siku nzuri yakuweza kutaja ni mwanamke menye sifa gani ambaye ninamwihitaji.

Sifa ni kama zifuatazo;
Awe mweusi sana, awe mrefu kama 8inch, awe mnene sana lakini asiwe na kitambi,
awe hana nywele yaani kipara, awe anapenda kununu muda wote, awe anajua kupigana,
awe hapendi chips wala simu, awe mpenda MUNGU, awe mchapa kazi,
awe hajui kusoma ili hata nikitaka simu anipe endapo akitumiwa sms,
awe hapendi vitu vya gharama.
umri ni kuanzia miaka 18-50.

Kama yupo jamani tafaathali anitafute sasa hivi.
moja ya sifa ni kutokujua kusoma,sass hili tangazo atalisomaje ili ajitokeze?
 
Duuu 8inch? Commedy show

huyo alipo elekea sijui ni wapi labda utoe taarifa vituo vya polisi!
 
Back
Top Bottom