Mwenye shida ya vocha ya Tigo

....khaaa.,we ndo hauko serious!..bado kumbe hujatuma namba tu?....acha woga,shuka lile la mmasai umepewa ofa na Mtambuzi;na vocha unabaki nayo!
.....upendweje sasa tena!
Mwambie maana anadhani mimi ni wa mchezo mchezo
Aulize Mzee wa Michapalo humu JF ni nani atanijua tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…