Mwenye Sheria ya Barabara 2007

Mpui Lyazumbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2010
Messages
1,857
Points
1,250

Mpui Lyazumbi

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2010
1,857 1,250
Wakuu wanajamvi, nawaombeni kwa dhati ya moyo wangu niwekeeni hapa softcopy ya sheria namba 17 ya mwaka 2007 ya barabara - The Tanzania Road act #17 of 2007. Nimeitafuta maeneo mengi na sijaipata hatimaye nimeona nije hapa kuomba msaada. Natanguliza shukrani hasa nikiweza kui download,
 

KOGELO

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2018
Messages
204
Points
500

KOGELO

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2018
204 500
Jamani nimemsikia rais leo akiwaambia wana ubungo kimara waliovunjiwa nyumba zao kuwa hawatalipwa chochote kwani walivunjia kihalali.
Naomba mwenye kujua hiyo sheria atuwekee hapa
 

Forum statistics

Threads 1,390,006
Members 528,077
Posts 34,040,783
Top