Kim Jo Ngil
Member
- Jan 3, 2014
- 45
- 17
- Thread starter
-
- #41
Mleta uzi angalia sana,Viroba na Maharage sio mwake.
Ukileta uzi ujipange sana,inaonekana hata mambo ya ndege huyajui.
Unajua mtu akikodi basi amenunua,Pole sana.
Jua kwamba unaweza kuwa na chini ya laki tatu na nusu tu ukakodi Ndege ya 5 - 7 Seater kuja Zanzibar na familia yako.
Wewe ndio uache viroba ndege ya nani unakodi kwa laki 3? Ya baba yako?
Huyo jamaa alikuwa anaenda znz kaona ndee imepaki ikifanyiwa matengenezo akapiga picha.
Wewe umechangia na mkuongea vitu vya uongo eti ndege laki 3 ili iweje?Sasa ulichopost ni nini sasa,au ulikuwa unapima watu watachangia issue za siasa.
Acha kujichanganya
senchu kwa kuikuza picha,Super Mogul you know ha ha ha ha ha ha ha haaaaa Le big show kwa kujikomba kwa Mapedejheee.
Wewe ndio uache viroba ndege ya nani unakodi kwa laki 3? Ya baba yako?
Huyo jamaa alikuwa anaenda znz kaona ndee imepaki ikifanyiwa matengenezo akapiga picha.
Ukweli usio doa...hivi Flight Link sio chartered one? ? nauliza tu...
na kwani hata mie nikiwa na vijisenti vyangu kwan siwez kuikodi?
Super Mogul you know ha ha ha ha ha ha ha haaaaa Le big show kwa kujikomba kwa Mapedejheee.
Nimejaa tele mkuu nakusubiri.Maneno yako Daima yatabaki kwenye kumbukumbu zangu leo Mkuu nikija Bongo lazima nikutafute nikitoka uku kwenye Brazuka.
kuwa na pesa zisizokuwa na genuine source utazitanulia kweli lakini rohoni hutakukwa na amani, i rather die poor...!!!Super Mogul you know ha ha ha ha ha ha ha haaaaa Le big show kwa kujikomba kwa Mapedejheee.
Watu na maisha yao, but at what cost?
Big F... (I mean "Freaking") deal!!
Hizi ndege used mbona bei yake ni poa kuliko hata Landcruiser/Range mpya?
Kuna mtu anayo moja namfahamu alinunua US haikuzidi hata $200K total landed cost...."vijisent" ambavyo hapa bongo kuna watu chungu nzima wanaweza ku-afford, achilia mbali wale wanaoitwa wazee wa mapouda!!
All the best...kama kazi unayofanya inaruhusu, why not! Maisha ndio haya haya...ila Kama ndio short cut mhhhh!