Babu Kijiwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 4,845 Reaction score 4,776 Apr 6, 2015 #1 Kama maisha ni mtihani mbona Past paper zake hazipatikani? Acheni uongo. Nimepekua vitabu vya Nyambari cjakuta past papers za maisha.:dance::thinking::majani7:
Kama maisha ni mtihani mbona Past paper zake hazipatikani? Acheni uongo. Nimepekua vitabu vya Nyambari cjakuta past papers za maisha.:dance::thinking::majani7:
Enzymes JF-Expert Member Joined Feb 14, 2013 Posts 4,332 Reaction score 3,022 Apr 6, 2015 #2 Ha ha ha unàvituko wewe!! Eti watahiniwa wa NDOA hupewa vyeti kabla ya kukalia paper!!