jaqfantasy212
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 542
- 258
Mkaka unataka niweke mambo yote kweupe?? Niliposema mambo mengine yanazungumzika nilikuwa na maana mambo mengine ni private issue sio ya jukwaan..Unataka kuweka biashara gan? au unatka kufngua nin? ili tucje kuingiliana kibness je utatumia na umeme
Nakulza hvyo coz nlshawh kufnya hvyo na mtu then ikawa majanga-so kama niprivate kihvyo endlea kukaa chumbn mjadil na mkeo mnaweza kupata muafaka
copy
Au anataka kuwa wakala wa sembe?
Duuuh
Malumbano haya nashangaa yanfikaje hapa wakati mwombaji ameweka namba yake ya simu.
Kulikoni wajameni?
Great thinking...?????????