Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
To be honest hali ni mbaya sana kwa site. Sio waislam sio wakristo. Wanalalamika na kulalamikia hali iliyopo.
Nipo sehemu nasubiria huduma ya kiserikali, watu utadhani wamefiwa. Ndio mmoja mwenye sigda na kofia yake anasema nyumba haina mwenyewe. Wapangaji wanajiamulia la kufanya. Huduma za kubembelezea.
Muda nyuma kidogo nikiwa na mwanausalama mmoja naye anafunguka tu. Haridhishwi na yanayoendelea. Yani yeye kama binadamu ukiacha kando usalama wake, anasema hakuna kitu. Mwenyenyumba aliiwezea nyumba yake.
Anaongeza, lolote litakalompata na limpate. Nani... Sijui.
Kwa hali hii inahitajika tu cheche moja ilete mwamko. Nyumba haina mwenyewe